Latest Videos

Video


Baba_Sam_Simama_Imara
Huyu jamaa ni mkali ile mbaya hii nyimbo ni ya Gospo fleva iko poa. Kwani mshikaji katambaa na biti flesh ile mbaya kama vipi icheki afu teremsha feeds zako za maana kwa mshikaji ili ajue wapi pa kurekebuisha . Nyimbo inaitwa Simama Imara msanii anajiita Baba Sam









K- Dizzo_Safari



K - Dizzo Nyimbo safari iko fiti saaaaaaaaaaaaana kama vipi fatilika mwenyewe utajionea

Ton Shine Umasikini wa Macho


Ni bonge la nyimbo lililotengenezwa hapa Knack Video Production. Huyu ni msanii kutika mkoani Mwanza lakini anafanyia kazi zake jijini Dar es Salaam Kuiona nyimbo hii
 <<<BOFYA HAPA>>>

Moja kati ya video tulizozifanya ndani ya Knack Video Production

Nyimbo hii inakwenda kwa jina la "FUTA MACHOZI" msanii akiwa Mofatty. Kijana yuko fiti katika fani hii ya music. Kazi hii imedirectiwa na Hamisi Ramadhani (HANSI) na Kueditiwa na Sadick Bakema. Kwa ushirika huu tuna kuletea kitu kizuri, kitamu namna hii. futa machozi. Naaaaaa baaaaaaado tutaendelea kukuporomoshea namna hii. Ebhana hii Production inapatikana pande za IKWIRIRI / RUFIJI nauzungumzia mkoa wa Pwani. so wote mnakaribishwa saaaaaaaaaaaan praaaaaaaah. Check kichupa afu then tujuze kwa comment yako hapo chini. Tuko pamoja saaaaaaaaaaaaana mtu wangu.

KUMBUKA: Tuna bei inayolingana na kipato chako. Usimuogope samaki wewe ulizia bei.