Videoz

Hamisi Minangu Ft Ester       
Wimbo Unaitwa Nikienda Dar
   Huyu anaitwa Hamisi mwana wa Minangu Wimbo      unaitwa Nikienda Dar. Ni ni bonge la idea mkuu saluti kwake. You know what! Watu kibao huwa wanakamtindo ka kusahau walipotoka,. Jamaa kaona kunamsanii flani flani hivialiwahi kuimba wimbo wake flavi eti kwambaaaaa anamuaga mpenzi wake kuwa anaenda Dar kwahiyo atarejeawatoto wake wakimlilia  eti wadanganywe na vibagia. and then akasahau kama ameacha mke na watoto anaanza kutafuta mpenzi eti nimpende nani  na nyingine nyingi kama hizo za kusahau alikotoka  






Hamisi Minangu ft Ester Nikienda Dar

Mofaty _Futa Machozi                                                      

Nyimbo hii inakwenda kwa jina la "FUTA MACHOZI" msanii akiwa Mofatty. Kijana yuko fiti katika fani hii ya music. Kazi hii imedirectiwa na Hamisi Ramadhani (HANSI) na Kueditiwa na Sadick Bakema. Kwa ushirika huu tuna kuletea kitu kizuri, kitamu namna hii. futa machozi. Naaaaaa baaaaaaado tutaendelea kukuporomoshea namna hii. Ebhana hii Production inapatikana pande za IKWIRIRI / RUFIJI nauzungumzia mkoa wa Pwani. so wote mnakaribishwa saaaaaaaaaaaan praaaaaaaah. Check kichupa afu then tujuze kwa comment yako hapo chini. Tuko pamoja saaaaaaaaaaaaana mtu wangu  
Mofaty _ Futa Machozi




Ras -G _Niwe nawe

Hii Nyimbo itakwenda kwa jina la niwenawe. Kazi hii imetengenezwa na Knack Video Production. Iko fiti kama unavyoiona. Msanii anaitwa Ras - G huyu jamaa anatoka pande za mwanza. in short yuko fiti katika fani hii cheki ngoma yake afu mwenyewe utashusha comment zako chini







Ras G ft D. Brother Niwe nawe

0 comments:

Thank you for you comment