SMS za Mapenzi
SMS zaMapenzi
Meseji za Mapenzi
Kuna miezi 12 katika mwaka siku 30 katika mwezi�siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku dakika 60 katika saa��lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.
****
I
asked God for a rose and He gave me a garden. I asked God for a drop of water
and He gave me an ocean. I asked God for an angel and He gave me you!
****
Kuna vitu viwili
zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe
*****
I will walk with you side by side for only one condition: hide your
wings every time we walk together because the whole world might know that
you're my angel!
****
Bongo zenye
fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na
kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
****
Do you
take me to be your lawfully wedded text mate, in sickness or in health, through
metering or not, till low bat do us part?
****
Penzi linaweza
kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu
asomaye meseji hii.
****
Each
of us is an angel with one wing. The only way we could fly is to hold each
other and share wings. So if you have trouble flying, I will always share mine
with you.
****
Kama ningeweza
kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja.
****
Minsan
caring is better than loving. Minsan tea is better than coffee. Minsan smile is
better than laughter. Pero nobody is better than you.
****
Umewekwa usiku
ili tuweze tuukubali mchana, huzuni ili tuikubali furaha, ubaya ili tuukubali
uzuri, wewe ili niyakunali mapenzi.
I don't want to say I miss you, though
deep inside I do, coz I'm afraid you might see thru and know how much fear I
have of losing someone like you.
****
Unaonekana
kung�ara leo nilijuaje��.ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku
****
You greeted me hi, I didn't reply. You gave me a sweet smile, I
responded with a sigh. You showed me your love, you received a shrug. But when
you bid goodbye I began to cry.
****
I have
heard from the phone company, the water company, the electric company, but
haven't heard from you. Too bad, it's your company I love the most.
****
Mapenzi ni nini?
Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa
nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho
wangu ni wewe.
****
I've
been wondering why you're not texting... Multiple choices: a. busy b. dilemma
c. tired d. thrifty e. want me to miss you.
****
Love is
something special, a treasure I want to find... To others, love is blind but
for me, its not true, coz when I fell in love...I saw you.
****
Ni mapenzi gani
yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji?
****
True
love is hard to find, special one, one of a kind. I know because it appeared to
me on a strange day I met you.
****
Kama mapenzi
huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa.
Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
****
While
you gave her flowers, you gave me thorns. While all she did was smile, all I
did is mourn. While she was so happy, I felt so blue. Because while you loved
her, I was loving you.
****
Nilikuwa
nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale
tu nilipokuona wewe.
****
Baadhi ya watu
huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna
anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.
****
Can I
say I love you today? If not, can I ask you again tomorrow? And the day after tomorrow?
And the day after that? Coz I'll be loving you every single day of my life.
****
Mwanamke ni yule
amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.
****
If
love is a disease then I'm very ill. But I would not want medicine and won't
take any pill. I would instead suffer this illness and be bedridden with joy of
knowing you.
****
Kukusahau wewe
ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau
meseji hii, lakini si mtumaji.
****
First
time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I was
scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love you. But now
that I love you, I'm scared to lose you!
****
Mambo
yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia,
lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu.
****
An
angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you
so much coz there's no reason not to.
****
Why do
birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want
to be near you!
****
Simu huboa
wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila
mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane
****
They
say as long as at least one person cares for you, life isn't a waste. So when
things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you
still got me.
****
Maneno huanza na
ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.
****
If
only one star would fall every time I miss you, then all the stars in heaven
would be gone. Don't wonder if there are no stars tonight! It's your fault coz
you made me miss you a lot.
****
Mvua na jua
haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana hazigongani, lakini mimi na wewe, hata
wasemaje, �tunafiti� kuwa pamoja.
****
If
someone would ask me what a beautiful life means, I would lean my head on your
shoulder and hold you close to me and answer with a smile: "Like
this!"
****
Niotapo ndoto,
hukuota wewe...labda siku moja, inaweza kuwa kweli.
****
Life
may sometimes be a rough road to walk on where everything seems wrong. But
don't give up. Just go on coz when you think you're all alone, look back and
you'll find me walking along.
****
Kuna bahari kati
yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si �Supamani� lakini nipe
sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo?
****
Someone
once asked me, "Have you ever fallen in love?" Then I answered,
"Of course, once." Then they asked me another question: "Did it
hurt?" I thought of you and told them "Yes, very much".
****
Kama ningeweza
kutenga muda kidogo na kuufanya uendelee kung�ara siku zote, siku zote
nilizoishi ningechagua wakati nilivyoishi nawe.
****
I used
to think that the world is so unfair, that it gave me so many reasons to hate
it. But now, how can I hate such a wonderful world that gave me you?
****
Natamani
ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako,
lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.
****
When
it rains, you don't see the sun, but it's there. Hope we can be like that. We
don't always see each other, but we will always be there for one another.
****
Naweza kuishiwa
ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza kuishiwa chaji lakini
moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka.
****
You'll
know that you miss someone very much when every time you think of that person,
your heart breaks into pieces and just a quick "Hello" from that
person can bring the broken pieces back.
****
Penzi, maisha
yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia,
nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.
****
When
the time comes I can't smile anymore, don't worry about me, I know what to do.
I'll just stare at one corner and think of you. No one else could make me happy
like the way you do.
****
Kila mtu anataka
kuwa jua linalong�arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili
nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.
****
There's
a love that only you can give, a smile that only your lips can show, a twinkle
that can only be seen in your eyes, and a life of mine that you alone can
complete.
****
Ah�Nimesahau
jina lako. Ninaweza kukuita langu? Na iwapo utasahau langu, niite lako mpenzi!
****
If I
had the letters "HRT", I can add "EA" to get a
"HEART" or a "U" and get "HURT". But I'd rather
choose "U" and get "HURT" than have a "HEART"
without "U".
****
Unaweza usione
kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani
nilivyokushiba, unaweza usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo
wangu tu uliyoyaficha hayo.
****
There
are 4 steps to happiness: 1. you, 2. me, 3. our hearts, 4. together!
****
A day
may start or end without a message from me, but believe me it won't start or
end without me thinking of you. See! I just did. Take care.
****
Kama busu ni
maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni
maisha ningekupa yangu bure.
****
It's
hard to say hello because it might be goodbye. It's hard to say I'm okay
because sometimes I'm not. But it's easy to say I miss you coz I know that I
really do.
****
Ni ngumu kwa
watu wawili kupendana wanapoishi Dunia tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na
kuwa kitu kimoja, hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.
****
If
you're feeling lonely and you think there is nobody there to love, support,
listen or show they care, just save this message and every time you realize it,
it will remind you that a part of me is always there with you.
****
Watu husema
kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha hayajapoteza maana, kwa hiyo,
ukijihisi mpweke hauhitaji kuishi nikumbuke mimi.
***
Roses
are red, violets are blue. I am waiting to hear from a cute guy like you.
****
Watu waliniambia
ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu.
Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu
****
Do you
know that men and women are angels created with only one wing? And they need to
embrace each other to be able to fly... Hope you can find your angel whom you
can fly with forever.
****
Furaha yangu
kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako.
Najua kuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa
kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali.
****
I
always think of you, but I always fail to know the reason why. Is there
something else I should know about you? But there is one thing that I know is
true. That life will always be sad without you.
****
Chuki huharibu
akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili yangu.
****
Don't
say you love me unless you really mean it cause I might do something crazy like
believe it.
****
Kumjali mtu ni
rahisi, lakini kumfanya mtu akujali ni vigumu, nashangaa umewezaje
kunifanya nikujali?
****
I'm
afraid to close my eyes coz I might think of you. I'm afraid to open them coz I
might see you. I'm afraid to move my lips coz I might speak of you. I'm afraid
to listen coz I might hear my heart fall for you.
****
I'm
sorry to be smiling every time you're near. I'm sorry my eyes twinkle whenever
you're here. I'm sorry that cupid has made his hit. I'm sorry I love you, I
can't help it.
****
Nitafute wakati
una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio
lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.
****
If
love can be avoided simply by closing our eyes, I wouldn't blink at all for I
don't want to let a second pass having fallen out of love with you.
****
Ningependa siku
moja utamani sana kuwa na mimi, na uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa
kiasi ninavyotamani kuwa nawe sasa.
****
If I
could be any letter in the alphabet, I'd choose "V" so I can be next
to "U"; if you could be any note, I wish you're "RE" so
you�re always beside "ME"!
****
Kila
unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila ndoto yako itimie kila muda na
sehemu, niwepo nikikutakia mafanikio mema kwasababu nakujali.
****
The
spaces between our fingers were created so that another person's fingers could
fill them in. Hope you'll find your dream hand to hold you forever.
****
Viungo vyote vya
mwili wangu vinakuhitaji, inawezekana kwasababu nimeumbwa kwa ajili yako.
****
When
you love someone, draw a circle around their name instead of a heart coz hearts
can be broken but circles never end.
****
Nobody
tells fish to swim, birds to fly, cows to moo, dogs to bark - they just do.
Just like nobody tells me to remember you. I just do!
****
Kama ungekuwa
kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu.
****
Whenever
you feel blue, I will be there for you. Whenever you are sad, I will stay by
your side. Whenever you need someone to love, I will always be there for you to
have.
****
They
can recycle paper till it's as good as new, reproduce cans and jars and old
bottles too, but they can never recycle another person as wonderful as
you.
****
What
good is beauty without brains, looks without charm, money without happiness, a
smile without feelings, a life without you?
****
Kusumbuliwa na
mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda fulani, mahali fulani, kuna mtu
anakufikiria muda huu, na huyo ni mimi mara zote nakujali.
****
A person you love is an extension of yourself. Without it,
you're not complete so better take care of yourself because I don't want to
lose a part of me.
****
I wish
my eyes could speak what my heart feels for you; coz my lips can lie on what is
true. My eyes couldn't coz even if I close them I could still see you.
****
Every
time I hear my text tone, I always hope one of them is from you. My cell phone
may have limited memory space but my heart has unlimited space for someone like
you.
****
Nimekuapata!
Kama unanichukia, nipige mshale, lakini tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe
ulipo.
****
Someone
asked what makes people happy. Some said wealth and some said fame. I was
thinking about this when my cell phone beeped and received a text from you.
Then, I smiled and said: "This makes me happy."
****
You're
like a target that I always try to aim at. How I wish I could aim you at the
heart. But every time I fail, I feel so sad. You know why? It's because I
always end up missing you.
****
Naweza kukuazima
mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu,
utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
****
If I
get takot, would you hawak me tight? If I gawa something mali, would you make
it right? If I build an apoy, would you bantay the flame? If I sabi I miss u,
would you ramdam the same?
****
Lazima utakuwa
mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini
mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
****
Mpenzi
kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, hata nilipokuambia niliogopa
kukupenda, nilipokupenda sasa naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari
kukukosa katika maisha yangu.
****
If a kiss were a raindrop, I'd send you showers. If hugs were
a second, I'd send you hours. If smiles were water, I'd send you the sea. If
love was a person, I'd send you me.
If I had to choose whether to breathe or to love you, I would
use my last breath to tell you that... I love you.
****
Wanasema
mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo ambalo mimi naliona si la kweli
kwa maana kila ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
****
It's magic each time we hold each other, each time we cuddle,
and each time we kiss. I feel goosebumps all over again. I never want to let
you go for fear of losing you, so I just hold on a little bit tighter each day,
refusing to let go. You will never know the warmth I feel inside me when I'm
with you. You're all I ever wanted.
****
Mpenzi
wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni
maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu.
Umeniteka moyo na akili yangu pia.
****
You may not love me like I love you,You may not care for me like I
care for you But if you ever need me, I will always be around for you.
****
Imani
hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua yaliyopoteza uhai, lakini
mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani
mwangu kwa kuwa tunapendana!
****
Love doesn't make the world go round, it just makes the ride
worthwhile. Love is in your heart not to stay, but to be shared.
****
Mpenzi
wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo muhimu matatu. Jambo la
kwanza ni kumpata umpendaye, la pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni
kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana pamoja.
****
If you love someone, you give everything as you can and don't expect
to receive anything in return.
****
Ni
vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari
kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi
letu laazizi wangu.
****
Mpenzi
nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa
kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba
unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi
sasa naonekana kama chizi.
****
When you will find any reason for your love,you should know that
your love is not true....because true love has no reasons...
****
You don't have to love in words; even through the silences love is
always heard. I Love You Honey! The way you look into my eyes It scares me The
way you say "I love you"
****
Nakupenda
mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu ni kubwa, hakuna ambaye anaweza
kufikia uhodari wako, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwangu.
****
Just 3 words, i have to say it ,no matter where we are,no matter who
were with, no matter how lond it takes i have to say i love you
****
Nakupenda
sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na
mwingine hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake
wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
****
J, I love u frm core of my heart.My Every beat of heart is u n wen
it pumb blood frm heart n blood goes to brain it again remember's u....I LOVE U
****
I wish my eyes could speak what my heart feels for u bcoz my lips
could lie on what is true.My eyes couldn't bcoz even if would close them i
would still see u ....... love you still n after my last breath
****
Nakupenda
mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda sipendi
kuwa na urafiki hata na msichana kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea
wewe. Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita maishani mwangu.
Mwaaaaaaaaa baby.
****
Penzi
lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife??? Siwezi
kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.
****
I LOVE you not for who you are, but for how you make me feel...
Every time you touch me i can feel my heart going BOOM BOOM BOOM and it goes
faster and faster. When you are not next to me i feel like a part of me
****
Asali
wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza
kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa
naweza kukuacha.
****
To the soul that hug my soul,to the heart that kept his secret in
mine,to the hand that lighted the fire of my emotions,to my lovely
butterfly....love will keep us alive
****
Nakupenda
sana B tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukaa na wewe unifariji
moyo wangu, njooo ……. wangu nakusubiri sasa.
****
U may be out of my sight, but not out of my heart. U may be out of
my reach, but not out of my mind. I may mean nothing to u, but u'll always be
special to me.
****
I love so much my heart is sure. As time goes on I love you more.
Your happy smile, Your loving face, No one will ever take your place.
****
Mpenzi
unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya
uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari
tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.
****
You have my heart, my soul, and my love. You mean the world to me,
and i would do anything for you. You are my true love and I want to be with you
forever. You are truley amazing and deserve the very best. I only honey
****
Uchungu
wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache
nami siko tayari kukuacha.`
****
I love you. I love every little thing about you. I love your cute
smile, your magical eyes, and the sound of your voice. I love your gentle touch,
and I love the warmth I feel when I’m by your side. I can't stop thinking about
u.
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments:
Thank you for you comment